GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Kuna Mbunge Mmoja 'Maarufu' tu na alikuwa Waziri nimekutana nae mara tatu 'Bagamoyo' ambapo ninaenda 'Kuroga' Taifa Stars iishinde Tunisia.Leo nimemkubali sana Rais Magufuli hasa kuhusu wabunge wanaoenda kuroga wawe mawaziri!
πππKuna Mbunge Mmoja 'Maarufu' tu na alikuwa Waziri nimekutana nae mara tatu 'Bagamoyo' ambapo ninaenda 'Kuroga' Taifa Stars iishinde Tunisia.
Dikteta kaziniKumbe alimtumia meseji ya kujipendekeza ya pongezi..mara ooooh umeapa vizuri lakini jiwe hakujibu ..
Kuna kitu
Atawanyoosha awam hii nakwambia,subili utaona kama kuna atakayefurukutaDikteta kazini
Rais Dk. Magufuli ana karibia 99.9% ya 'Sifa' zangu zote za 'Kiasili' kabisa kama vile.....Magufuri ni muwazi sana, anakupa taadhari ili akikutumbua usije sema hakukwaambia mapema
Yp tukopamojaUmedata wewe Kama vp washa VPN Ila majaliwa anatoboa hapo na ndo president 2025
Ila mimi wa peoples power lakini wakipeleka majina ya viti maalumu nawaaama mchana kweupe
Wenye 'Akili' hapa Jamvini 'JamiiForums' wanajadili 'Hoja' iliyoko 'Mezani' Wewe kutwa ni 'Kunijadili' tu Mimi 'Mbokoaji' wako wa 'Kutukuka' kabisa.Hili jamaa GENTAMYCINE lina kiherehere sana, majitu ya majita road ndivyo yalivyo
[emoji16][emoji16][emoji16]shida pekee ya sisi wa TZ tushazoea unafki, mtu akiwa mkweli anakuwa aduiRais Dk. Magufuli ana karibia 99.9% ya 'Sifa' zangu zote za 'Kiasili' kabisa kama vile.....
1. Kutoogopa
2. Kujiamini
3. Ukweli
4. Uwazi
5. Kutotabirika
6. Kutopenda Kushobokewa
7. Kutokuwa Mnafiki na Kumuonea Mtu Aibu hata kama ni Baba yangu, Mama yangu, Dada na Kaka yangu, Ndugu na Marafiki zangu wote
Yawezekana na Mimi GENTAMYCINE labda pasipokujua Mwenyezi Mungu 'ananiandaa' nami kuja kuwa Rais wa Tanzania ambapo 'mtanikoma' tu.
Kupongeza ni uungwana na ustaarab kumkalia kimya aliyekupongeza si ustaarab ni kibri na majivuno pia ni machukizo mbele ta Mungu"Huna hakikisho la kuwa hapo kwa miaka mitano"
"Acha kudhani kuwa ni mwenye bahati kuliko wengine"...
Tofautisha tahadhari na kutishiaMagufuri ni muwazi sana, anakupa taadhari ili akikutumbua usije sema hakukwaambia mapema
Sawa ila inabaki ni TAFSIRI YAKO....Kupongeza ni uungwana na ustaarab kumkalia kimya aliyekupongeza si ustaarab ni kibri na majivuno pia ni machukizo mbele ta Mungu
"Huna hakikisho la kuwa hapo kwa miaka mitano"
"Acha kudhani kuwa ni mwenye bahati kuliko wengine"
"Hata Mkeo nae ajiandae Kisaikolojia kama usipodumu hapo"
"Nilipokuwa naapishwa alinitumia Meseji ya Pongezi na wala sikumjibu ili asije kudhani kuwa bado atakuwa Waziri Mkuu"
"Umesema Mkeo anakupa Raha ila kwa sasa sidhani hata kama hiyo Raha utaipata tena"
"Na wala Watu wako wa Lindi huko waache Kujisifu kuwa Wewe umerejea tena na utadumu katika Cheo hiki"
"Kudumu Kwako kama Waziri Mkuu kutatokana tu na Ufanyaji Kazi wako ila usijiaminishe kuwa utadumu kama Sumaye"
Binafsi kuna nilichokigundua kwa haraka sana hasa baada ya Kuangalia tu 'Body Language' ya Rais Dk. Magufuli na 'Hofu' machoni mwa Waalikwa ila nitakisema baadae kabisa. Na leo pia nimeweza kujua 'Sifa' nyingine aliyonayo Rais Dk. Magufuli ya kutokuwa Mtu wa 'Kutabirika' kutopenda 'Mazoea' hana 'Unafiki' na anachukia mno Mtu 'Kujipendekeza' hovyo Kwake.
Shida ndo hiyo waTz hatujazoea mtu mkweli, ila hii inchi inahitaji mtu wa namna hyo, percent kubwa ya waTz ukiwaambia jambo kwa urafiki huwa hawafanyiTofautisha tahadhari na kutishia
Hahahhaahhaaahahahhaaha Asante Raisi mtarajiwaRais Dk. Magufuli ana karibia 99.9% ya 'Sifa' zangu zote za 'Kiasili' kabisa kama vile.....
1. Kutoogopa
2. Kujiamini
3. Ukweli
4. Uwazi
5. Kutotabirika
6. Kutopenda Kushobokewa
7. Kutokuwa Mnafiki na Kumuonea Mtu Aibu hata kama ni Baba yangu, Mama yangu, Dada na Kaka yangu, Ndugu na Marafiki zangu wote
Yawezekana na Mimi GENTAMYCINE labda pasipokujua Mwenyezi Mungu 'ananiandaa' nami kuja kuwa Rais wa Tanzania ambapo 'mtanikoma' tu.
Lazima wajambeAtawanyoosha awam hii nakwambia,subili utaona kama kuna atakayefurukuta