Mliobobea katika 'Saikolojia' na 'Maono' kwa 'Msisitizo' wa 'Kauli' ya Rais Dkt. Magufuli mnamwambiaje 'Prime' Majaliwa?

Hivi yeye ana uhakika gani wa kudumu hapo?

Kwanini amsimange mwenzie?

Yeye ni nani ktk nchi hii?

Kwani yeye ana hati miliki na hii nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…