GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Huna hakikisho la kuwa hapo kwa miaka mitano"
"Acha kudhani kuwa ni mwenye bahati kuliko wengine"
"Hata Mkeo nae ajiandae Kisaikolojia kama usipodumu hapo"
"Nilipokuwa naapishwa alinitumia Meseji ya Pongezi na wala sikumjibu ili asije kudhani kuwa bado atakuwa Waziri Mkuu"
"Umesema Mkeo anakupa Raha ila kwa sasa sidhani hata kama hiyo Raha utaipata tena"
"Na wala Watu wako wa Lindi huko waache Kujisifu kuwa Wewe umerejea tena na utadumu katika Cheo hiki"
"Kudumu Kwako kama Waziri Mkuu kutatokana tu na Ufanyaji Kazi wako ila usijiaminishe kuwa utadumu kama Sumaye"
Binafsi kuna nilichokigundua kwa haraka sana hasa baada ya Kuangalia tu 'Body Language' ya Rais Dkt. Magufuli na 'Hofu' machoni mwa Waalikwa ila nitakisema baadae kabisa.
Na leo pia nimeweza kujua 'Sifa' nyingine aliyonayo Rais Dkt. Magufuli ya kutokuwa Mtu wa 'Kutabirika' kutopenda 'Mazoea' hana 'Unafiki' na anachukia mno Mtu 'Kujipendekeza' hovyo Kwake.