Mbute na chai
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 564
- 593
hongereni, saut hutumia 4 yrs bado ktk course ya sheria?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe tangu umejiunga hapa lini umewahi kuchangia la maana
Ukitaka fungua thread mpya then uliza kwa wadau, hata macho hayakuonyeshi kwamba nimewekewa sticky nyingi though zingine niliomba zifutwe kutokana na kuibuka wachangiaji kama wewe.
Lakini ningejua uko kiloba cha ngapi isingenipa tabu. Am sorry to say that
wewe utakuwa umesoma udsm ndio maana thread yako kuwa sticky unaona sifa
saut ndio nini?