Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hahahahahhahahahahaahahaahaa.....
Hatutaki ukabila
kuna jamaa mama ake msomali,baba ake mchina,huyo kijana ameoa mzungu unaonaje hapo 😂
A world citizenHatutaki ukabila
kuna jamaa mama ake msomali,baba ake mchina,huyo kijana ameoa mzungu unaonaje hapo 😂
Waite Watanzania halisi. Karne ya 21 hii ni vizuri kujua asili yako ila siyo lazima kung'ang'ania kujua lugha ya babu zako au kuoa kabila la babu yako haikusaidii kitu kutokana na mazingira ya maisha kubadilika.Kuna Wakimbu, Hawa wamezaliwa kwa baba na mama wa Kikimbu.
Kuna Hawa watoto wanaozaliwa mijini, wamechanganya makabila kichizi, Bibi mchanganyiko wa makabila, baba mchanganyiko wa makabila na toto changanyiko .
Mtoto hajui kilugha, wala hajui asili yao, toto lipolipo tu kama zimwi.
Jamani mnapoteza asili yenu, itafika kipindi mtaharibikiwa kabisaaaa na Wala hamtakuwa na pa kutambikia
Wewe uliyejua asili yako unavuta pumzi tofauti na wale wasiojua asili yao ?Kuna Wakimbu, Hawa wamezaliwa kwa baba na mama wa Kikimbu.
Kuna Hawa watoto wanaozaliwa mijini, wamechanganya makabila kichizi, Bibi mchanganyiko wa makabila, baba mchanganyiko wa makabila na toto changanyiko .
Mtoto hajui kilugha, wala hajui asili yao, toto lipolipo tu kama zimwi.
Jamani mnapoteza asili yenu, itafika kipindi mtaharibikiwa kabisaaaa na Wala hamtakuwa na pa kutambikia
Baba mchanganyiko wa Muha na Mzaramo, mama mchanganyiko wa Mmwela na MhayaHapo sasa!
Baba sukuma gang mama mpemba uwiiii... Huu mchanganyiko sijui tu watoto watakuaje:
Tanzania tuna makabila zaidi ya 120 Hebu nitajie makabila yaliyoko nchini wingereza acha mawazo ya kijima hata hapa Tanzania miaka 100 ijayo lugha za makabila madogo zitakuwa zimekufa kutakuwa na chembechembe za makabila ya wasukuma maana wako wengi.Kuna Wakimbu, Hawa wamezaliwa kwa baba na mama wa Kikimbu.
Kuna Hawa watoto wanaozaliwa mijini, wamechanganya makabila kichizi, Bibi mchanganyiko wa makabila, baba mchanganyiko wa makabila na toto changanyiko .
Mtoto hajui kilugha, wala hajui asili yao, toto lipolipo tu kama zimwi.
Jamani mnapoteza asili yenu, itafika kipindi mtaharibikiwa kabisaaaa na Wala hamtakuwa na pa kutambikia
Njoo wewe tuungane mrombo mheheKachumbali au saladi