Mliochanganya makabila nyie tuwaiteje?

Mliochanganya makabila nyie tuwaiteje?

Kuna Wakimbu, Hawa wamezaliwa kwa baba na mama wa Kikimbu.
Kuna Hawa watoto wanaozaliwa mijini, wamechanganya makabila kichizi, Bibi mchanganyiko wa makabila, baba mchanganyiko wa makabila na toto changanyiko .

Mtoto hajui kilugha, wala hajui asili yao, toto lipolipo tu kama zimwi.

Jamani mnapoteza asili yenu, itafika kipindi mtaharibikiwa kabisaaaa na Wala hamtakuwa na pa kutambikia
Kuna wengine hutambika kwa makanisani hivyo hawana habari na mizimu.
Si unajua na sisi ndio mizimu ijayo watatuvungia hawa watoto
 
Back
Top Bottom