Kuna Wakimbu, Hawa wamezaliwa kwa baba na mama wa Kikimbu.
Kuna Hawa watoto wanaozaliwa mijini, wamechanganya makabila kichizi, Bibi mchanganyiko wa makabila, baba mchanganyiko wa makabila na toto changanyiko .
Mtoto hajui kilugha, wala hajui asili yao, toto lipolipo tu kama zimwi.
Jamani mnapoteza asili yenu, itafika kipindi mtaharibikiwa kabisaaaa na Wala hamtakuwa na pa kutambikia