Mliochukua pesa za watia nia mkala mliahidi mtawatetea wapite, sasa hamjafanya hivyo, rudisheni pesa zao

Mliochukua pesa za watia nia mkala mliahidi mtawatetea wapite, sasa hamjafanya hivyo, rudisheni pesa zao

woyooo !!!

mwagaaaa mboga nasikia jamaa kapiga mpunga balaa
 
Huu upumbavu wenu peleka hukohuko Lumumba, usituchoshe.

Kama huwezi kutaja jina la mtu umeleta hapa uzi ili tujadiri nini? Ni kwa nini usimpigie simu muhusika?

Fanculo.
 
Mleta maada huo ni umama ulioleta kama umeshindwa kumtaja mtu sasa watu tuadili nini? Kwa ufupi umezengua
 
Acha mkwara kijana. Unataka kujenga fikra hasi kwa watu. Huna lolote ujualo
 
Back
Top Bottom