Mliodaka mwezi huu vipi kuna mabadiliko ya bodi ya mkopo

Mliodaka mwezi huu vipi kuna mabadiliko ya bodi ya mkopo

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,150
Kwa wale wanufaika wa bodi ambao hazina imecheka ofisini kwenu, vipi kuna tofauti yeyote kwenye deni la HESLB?
Au imekuwa kama vifurushi serikali inasema hivi mitandao inafanya vile.
 
Salary bado hata hivyo ni mpaka mwezi wa saba ndio utaona mabadiliko.
 
Back
Top Bottom