L Leverage JF-Expert Member Joined Jan 25, 2021 Posts 2,125 Reaction score 3,150 May 22, 2021 #1 Kwa wale wanufaika wa bodi ambao hazina imecheka ofisini kwenu, vipi kuna tofauti yeyote kwenye deni la HESLB? Au imekuwa kama vifurushi serikali inasema hivi mitandao inafanya vile.
Kwa wale wanufaika wa bodi ambao hazina imecheka ofisini kwenu, vipi kuna tofauti yeyote kwenye deni la HESLB? Au imekuwa kama vifurushi serikali inasema hivi mitandao inafanya vile.
co fm JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 1,541 Reaction score 2,487 May 22, 2021 #2 Kuanzia july kaka
L Leverage JF-Expert Member Joined Jan 25, 2021 Posts 2,125 Reaction score 3,150 May 22, 2021 Thread starter #4 co fm said: Kuanzia july kaka Click to expand... Kwahiyo mwezi wa 5/6 wataendelea kula riba yetu ya 6% ?
co fm said: Kuanzia july kaka Click to expand... Kwahiyo mwezi wa 5/6 wataendelea kula riba yetu ya 6% ?
L Leverage JF-Expert Member Joined Jan 25, 2021 Posts 2,125 Reaction score 3,150 May 22, 2021 Thread starter #5 gomz120 said: Mbn bado Click to expand... Kuna watu wanadaka mapema
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 May 22, 2021 #6 Salary bado hata hivyo ni mpaka mwezi wa saba ndio utaona mabadiliko.