Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawakumbusha wale wanafunzi walio disco na mwaka huu wanataka kuomba mkopo wakumbuke kurudisha 25% ya ulichotumia ndo bodi ya mkopo kitakufikilia
Na ruhusu kufahamishwa zaidi au kukosolewae
Ina maana na wewe uli-disco?
Maelezo yake ndo yameniambia hivyo! Wewe ulitakaje?hajakwambia hivyo