Mlioelewa alichokizungumza Rais Samia kuhusu Simba SC na Yanga SC naombeni kueleweshwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Your browser is not able to display this video.
"Najua vilabu vyetu vikubwa vya Tanzania Simba, Yanga sasa mimi mama yao nipo katikati akisemwa vizuri Simba mimi napiga makofi akisemwa vizuri Yanga mimi nafurahi, na kulipokuwa na Simba day ambayo Majaliwa hakuwepo na Yanga day nikapiga kuwapongeza, ilipokuwa Yanga day Makamu wa Rais alikuwepo nikasema huyu jamaa Yanga huyu sasa nikasema Simba Day Majaliwa hakuwepo, na Yanga Day Makamu wa Rais yupo basi mi ntakuwa katikati" - Rais Samia Suluhu akizungumza katika uwekaji wa Jiwe la Msingi Suluhu Sports Academy Mkunguni- Kizimkazi Zanzibar

Soma Pia:
Wengine IQ's zetu hazitaki sana kupotezewa katika Kumuelewa Mtu zina allergy na Mtu asiyeeleweka eleweka Oky?
 

za zina allergy na Mtu asiyeeleweka eleweka Oky?
" Za zina allergy "
 

Wawe wanamuandikia. Maana mara nyingi huwa anazungumza vitu nadhani hata yeye mwenyewe ukimuuliza havielewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…