Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wekeni kijana wa shambaWengine tukienda ndo tunaenda kufungua milango tufanye usafi Bora tubaki mjini tu
Mkapige kile kinywaji chenuWakaskazinii tukutane hapa...
Miaka yote tunakuona mjini tu; huna kwenu?Usitufokee
Mambo magumu; hata zile nyimbo hazipigwiEti mwaka huu tar 25/12 ni tarehe kama tarehe nyingine......
BalaaMambo magumu; hata zile nyimbo hazipigwi
Lakini kama una ka akiba kadogo usijinyime; mbuzi unaweza kupata kwa elfu 60+Balaa
Sawasawa😎Lakini kama una ka akiba kadogo usijinyime; mbuzi unaweza kupata kwa elfu 60+
Wanasema sio mbaya kufurahisha nafsi hata kwa kile kidogoSawasawa😎
Kwa hiyo mkuu huendi kijijini kwa kuogopa ajali?View attachment 2452138wazee wa kuroga na matambiko sisi hayo mambo hatuna mshaanza kumaliza na magorofa huko.
Angalia hao vijana utajua huko ni walevi kwa sana. Jua kali Makoti makubwa
Hili bango ni hatariMnaosafiri kuelekea vijijni kwenu, msinunue vitu mijini kanunueni vitu kwenye yale maduka yaliyopo vijijini kwenu kwasababu ndo wanawakopeshaga wazazi wako na ndugu zako wakati haupo!!
Sie kwetu mjini tu. Hatuna pa kwenda tunabaki kuendelea kutafuta karo za shule na muendelezo wa sikukuu zijazo.Watu wengi hupendelea kurudi makwao, hasa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Wengi hurudi vijijini ambapo ndipo chimbuko lao lilipoanzia, ili kusherehekea kwa pamoja; wapo wanaochinja mbuzi, ng'ombe n.k ili mradi kunogesha furaha ya kuwa pamoja na kujiandaa kukaribisha mwaka mwingine.
Lakini cha ajabu, kuna wengine wapo mjini tu, miaka nenda miaka rudi; wanasema wako bize kutafuta hela.
Sasa nataka niwaulize; nyie hamna makwenu, chimbuko lenu liko wapi? Au ni sababu zipi zinazokufanya usiende kujumuika na chimbuko lako?
Mda wote kuwa bize ni hatari kwa afya ya mwiliSie kwetu mjini tu. Hatuna pa kwenda tunabaki tunabaki kuendelea kutafuta karo za shule na muendelezo wa sikukuu zijazo.
. Pesa ina muda wake wa kutafutaMda wote kuwa bize ni hatari kwa afya ya mwili