Mlioenda kijijini kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu nyoosheni mikono juu!

Mlioenda kijijini kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu nyoosheni mikono juu!

Tupoo ..wengine ndiyo tumetoka ziwani kushangaa mataa ya mjini Malawi.
 
Halafu wengine ni wa ukerewe, ila wanajidai 'wanadarisalama'

Mkataa kwao...
Shida sio kutokea wapi mkoa gani issue ni mtu kwenda kwao kusalimia.
Mim nikitaka kwenda kwetu napanda bajaji elfu 5
Upande wa baba nkitaka kwenda napanda bajaji buku 2. Tena kwa miguu ni hapo nyuma tu
 
Ndugu zangu wote wako hapa mjini na familia zao, wengine nje....(Hao ni wa tumbo moja).Wazazi wetu wote hawapotena....huwa tunaenda mwezi wa tisa kwa ajili ya kumbukumbu yao...kusafisha makaburi etc...Nyumbani pale kuna familia kubwa...vijana wa kazi, bibi ( watu 10), ndugu wa karibu ni bibi tu..wengine tisa ni watu wa kazi na kuangalia mjengo.....(Kuna shamba, mifugo n.k)..
Nikisema nibebe familia yangu kwenda kijijini..siendi kupumzika..ni kujisogeza kwenye moto zaidi (wakiona boss katoka mjini...)Bora nitulie na familia hapahapa tu..kikubwa uhai..
 
Back
Top Bottom