Ndugu zangu wote wako hapa mjini na familia zao, wengine nje....(Hao ni wa tumbo moja).Wazazi wetu wote hawapotena....huwa tunaenda mwezi wa tisa kwa ajili ya kumbukumbu yao...kusafisha makaburi etc...Nyumbani pale kuna familia kubwa...vijana wa kazi, bibi ( watu 10), ndugu wa karibu ni bibi tu..wengine tisa ni watu wa kazi na kuangalia mjengo.....(Kuna shamba, mifugo n.k)..
Nikisema nibebe familia yangu kwenda kijijini..siendi kupumzika..ni kujisogeza kwenye moto zaidi (wakiona boss katoka mjini...)Bora nitulie na familia hapahapa tu..kikubwa uhai..