figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kwahiyo, kama sio yupo Dubai, basi tueleze yupo wapi?Hizi siasa za CCM zimefika kikomo. Kwamba Nchimbi kuonekana wakahisi italeta nafuu.
Nchimbi wa Mchongo. Halafu Nchimbi na Dubai wapi na wapi?
Mumelaani mnaoleta siasa kwenye maisha ya watu. Leo kwa Nchimbi kesho kwenu.View attachment 3699335
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanatuchezesha kimaisha kweli?Hizi siasa za CCM zimefika kikomo. Kwamba Nchimbi kuonekana wakahisi italeta nafuu.
Nchimbi wa Mchongo. Halafu Nchimbi na Dubai wapi na wapi?
Mumelaani mnaoleta siasa kwenye maisha ya watu. Leo kwa Nchimbi kesho kwenu.View attachment 3699335
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya TanzaniaKwahiyo, kama sio yupo Dubai, basi tueleze yupo wapi?
SawaHizi siasa za CCM zimefika kikomo. Kwamba Nchimbi kuonekana wakahisi italeta nafuu.
Nchimbi wa Mchongo. Halafu Nchimbi na Dubai wapi na wapi?
Mumelaani mnaoleta siasa kwenye maisha ya watu. Leo kwa Nchimbi kesho kwenu.View attachment 3699335
Sikiliza Ile picha ni ya Moses Wetangula na Musalia Mudavadi, Tena sio Dubai walikuwa Israel. Walichofanya wamekata sura na prompt picha ya Nchimbi na yule mlinzi wake.Kwahiyo, kama sio yupo Dubai, basi tueleze yupo wapi?
Wewe mbona haujakataliwa na unajiuza?.Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanuka uchi wanatuchezesha kimaisha kweli?
sijiuzi natoa bure tu nikikuelewaWewe mbona haujakataliwa na unajiuza?.
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanatuchezesha kimaisha kweli?Nchi ya kitu kidogo amini nakuambia shida huondoa maarifa wafuasi wa ccm wote waganga njaa wao ukiwapa posho ukawaambia semeni Nyerere kaonekana butiama uvccm hawana aibu ianakua ajenda mazuzu
shenzi, acha ujingasijiuzi natoa bure tu nikikuelewa
ujinga wangu nini sasa? au nidanganye?shenzi, acha ujinga
Kwahiyo, kama sio yupo Dubai, basi tueleze yupo wapi?
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanatuchezesha kimaisha kweli?
Hata hawajali unajisubua tu kuwalaaniHizi siasa za CCM zimefika kikomo. Kwamba Nchimbi kuonekana wakahisi italeta nafuu.
Nchimbi wa Mchongo. Halafu Nchimbi na Dubai wapi na wapi?
Mumelaani mnaoleta siasa kwenye maisha ya watu. Leo kwa Nchimbi kesho kwenu.View attachment 3699335
Tuwakatae kina kihongosi na genge lao ni wachochezi hawana mana yeyote zaidi ya kuifanya siasa kama ujasilia maliTumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanatuchezesha kimaisha kweli?
Kwahiyo kama haonekani ndo mlazimishe yupo Dubai? Nyie mliosema yupo Dubai ndo mseme Dubai ipi anafanya nini. Hii inaonesha huo mchezo umefanywa na Waarabu wa Dubai wa DP WORLD. ashindwe kwenda kwenye nchi alizowahi kuwa Balozi aende kwa Wajomba zake Samia? Acha ujingaKwahiyo, kama sio yupo Dubai, basi tueleze yupo wapi?