figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
- #21
Upo sahihi mkuu. Halafu ukisema siio yeye, UVCCM wanakulazimisha useme ni nani kana kwamba unafahamu watu wa dunia nzimaNchi ya kitu kidogo amini nakuambia shida huondoa maarifa wafuasi wa ccm wote waganga njaa wao ukiwapa posho ukawaambia semeni Nyerere kaonekana butiama uvccm hawana aibu ianakua ajenda mazuzu