figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
-
- #21
Upo sahihi mkuu. Halafu ukisema siio yeye, UVCCM wanakulazimisha useme ni nani kana kwamba unafahamu watu wa dunia nzimaNchi ya kitu kidogo amini nakuambia shida huondoa maarifa wafuasi wa ccm wote waganga njaa wao ukiwapa posho ukawaambia semeni Nyerere kaonekana butiama uvccm hawana aibu ianakua ajenda mazuzu
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanatuchezesha kimaisha kweli?
Laana kuu iwe juu yao woteHizi siasa za CCM zimefika kikomo. Kwamba Nchimbi kuonekana wakahisi italeta nafuu.
Nchimbi wa Mchongo. Halafu Nchimbi na Dubai wapi na wapi?
Mumelaani mnaoleta siasa kwenye maisha ya watu. Leo kwa Nchimbi kesho kwenu.
View attachment 3699335
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanatuchezesha kimaisha kweli?
Haya maneno ya kudhalilisha wanawake kisa wamesema ukweli usiopenda, uwe unayaandika kwenye thread za CCM wenzako. Bado naamini unaweza kuwa bora zaidi ya hapo.. Jitahidi.. Hizo buku saba unapewa hazilufikishi popoteTumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanatuchezesha kimaisha kweli?
Wanatuletea mambo kama yale ya Bob Marley kaonekana kwenye ndiziLaana kuu iwe juu yao wote
Haha haha wee jamaa weweWanatuletea mambo kama yale ya Bob Marley kaonekana kwenye ndizi
View attachment 3699506
Kuna ile ya ng'ombe kazaliwa na jina Allah tumboniHaha haha wee jamaa wewe
Hiyo michezo wanaweza ifanyia huko kwenye ng'ombe lakini si kwa uhai wa binadamu.. Sababu ndugu wanaumia sanaKuna ile ya ng'ombe kazaliwa na jina Allah tumboni
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanatuchezesha kimaisha kweli?
OkaySikiliza Ile picha ni ya Moses Wetangula na Musalia Mudavadi, Tena sio Dubai walikuwa Israel. Walichofanya wamekata sura na prompt picha ya Nchimbi na yule mlinzi wake.