Mliofanikiwa kwenye Network Marketing tunawaomba mtoe Ushuhuda hapa

Kwenye ishu ya Qnet mimi alinifata mtu wangu wa karibu ambae tulimaliza Chuo pamoja, kwa kua alikua anajua shida niliokua nayo maana nilikua nimeacha kazi so maisha yaliku ni taf sana, akiniapigia simu kua kuna mchongo wakuweza kujishighulsha ila hakuniambia ni mchongo gani, nilijipa matumaini na nikamuelezea mke wangu juu ya mazungumzo yetu, siku ya pili yake tukakutana sehemu ambayo alinielekeza nifike, ila kufika tu kuona yale mazingira nikaingiwa na hofu kidogo maana nikawa najiuliza masuali mengi kichwani kwangu ila alinipa hope kwamba nisijali kila kitu kitaenda sawa bin sawiya, ikafika zamu yangu nikaingia ndani wakaniaelezaalionieleza na wakaniambia ili nijiunge natakiwa nitoe Dolla 2,125 nikawaelza nitazipata wapi hizi kwa sasa wakaniambia nenda japo kakope. sikwenda kukopa wala kujiunga nao.
kuna mwana yeye ni mingoni mwa waanzilishi hapa kwetu Zanzibar inasemekana ametoka kwa sababu ameacha kazi ya bank na sasa anaofisi yake ya Qnet.
 
Kwenye ishu ya Qnet mimi alinifata mtu wangu wa karibu ambae tulimaliza Chuo pamoja, kwa kua alikua anajua shida niliokua nayo maana nilikua nimeacha kazi so maisha yaliku ni taf sana, akiniapigia simu kua kuna mchongo wakuweza kujishighulsha ila hakuniambia ni mchongo gani, nilijipa matumaini na nikamuelezea mke wangu juu ya mazungumzo yetu, siku ya pili yake tukakutana sehemu ambayo alinielekeza nifike, ila kufika tu kuona yale mazingira nikaingiwa na hofu kidogo maana nikawa najiuliza masuali mengi kichwani kwangu ila alinipa hope kwamba nisijali kila kitu kitaenda sawa bin sawiya, ikafika zamu yangu nikaingia ndani wakaniaelezaalionieleza na wakaniambia ili nijiunge natakiwa nitoe Dolla 2,125 nikawaelza nitazipata wapi hizi kwa sasa wakaniambia nenda japo kakope. sikwenda kukopa wala kujiunga nao.
kuna mwana yeye ni mingoni mwa waanzilishi hapa kwetu Zanzibar inasemekana yeye ametoka kwa sababu ameac
 
Ukweli halisi wa nertwork marketing kwa wale walioanza wamefanikiwa kupitia hawa wengine waliowaingiza kazi kubwa inakua pale utampata nani umuingize kwenye mnyororo uifyonze ela yake........kutokana na hali ya sasa ya kiuchumi kwenye mifuko ya watu sio rahis kumpata mtu akubali kuingia kwenye mnyororo huu na kupata wateja wa kuwauzia virutubisho kwa tsh.elfu 35 adi 70 kwaio mwisho wa siku aliyeanza kaanza we unayeingia sasa unawanufaisha walioanza...........nilipata kurudisha ela ya mtaji wa forever living baada ya kuwashawishi rafiki zang nilipoona Mambo magumu niliachana izi mambo naendelea na mishe zang tu saiv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
phyto science? Siyo watu wazuri walipita na mils 18 za mwana
 
Wa mwanzo uwa wanakula wanaofuata wanaliwa ni ponze scheme
 
Mkuu unafikili. Nimependa unapo uliza kwa nini wasiwauzie dawa MSD afu wasigawe hospital, hakuna pesa za bure
 
As You've said Uvaaji wa Suti for nothing umeniharibia my own young brother.
Na wewe nakulaumu ulitakiwa uwe mkali mapema na usimpe pesa kwasababu ushakaa kwenye utafutaji unaelewa kabisa hakuna pesa ya bure, Vijana wengi wanadhani unatajiri unapatikana hovyovyo tu
 
Kuna watu kukutapeli wanaona kawaida ila na sisi watanzania tupo Kama vichaa flani hivi . Hivi mtu anakuja kutoka nchi nyingine anakutumia wewe mtanzania kuwatapeli watanzania wenzako na hakuna cha maana unachopata huu si upumbavu wakupindukia yaani tume soma ila elimu haitusaidii kabisa huu ndio ule ukoloni tulio ona wazee wetu Kama wajinga kwa kukubali kuwa uza wafrika wenzetu ndio tunaufanya na sisi kweli afrika Ni shamba la bibi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu vipi mrejesho huyu jamaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupe feedback mkuu.
 
Tupe feedback mkuu.
Mafanikio yake hayakuwa chachu kwako kujiunga nae ili ufanikiwe? Au hupendi kuwa na gari zuri, appartment nakadhalika?
 
Kuna mwamba wangu alijiunga 2018 na hao jamaa wa Q-NET na ilipofika Januari 2020 akaacha kazi maana alikuwa bado hajapata mtu wa chini yake hivyo wazee wa suti wakamshawishi awe full time.

Sasa tunavyoongea muda huu jamaa anasema bora hiyo 5M angechukua pikipiki boxer 2 ambazo zingekuwa zinampa 20k kwa siku. Kimsingi mambo yameenda kombo ssna
 
Kuna hawa wapya wanaitwa “Vanilla Village”. Wanafanya promo sana ITV. Wananikumbusha “Mr Kuku”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…