Mliofanikiwa kwenye Network Marketing tunawaomba mtoe Ushuhuda hapa

Ha Ha ha ingawa siyo vya kuchekesha ila statement yako ya kuend up na kwashakoo imenichekesha pole sana Mkuu sijui watu wanaingiaje mkenge na hawa jamaa
 
Bora hiyo 700K angebet tu ,awape man city na Barca over 1.5 angekua na uhakika na 1M hapo
[emoji16]
 
QNet, its a chain where a person is fooled to join in the platform and then he/she is trained to fool others to earn money.
Kwa taarifa tu, this is a scam, hawa jamaa wanaishi kwa madeni siku zote, problem ni kwamba wakati unashawishiwa ujiunge kwa hiyo QNET kwa mfano, kuna vitu hauambiwi mpaka uwe umesha join, wakati huo umeshainvest usd 2000 yako, hivyo huwezi toka, Qnet is like a trap! Once your in you can not get out till you earn back your return pn investment which by any means you wont achieve easly kama wanavyokwambia.hivyo na wewe unafundishwa jinsi ya kuwa fool wengine wa join juu yako ile upate return yako, the chain goes on, by the way there is no like physical products traded in Qnet, ikishaingia tu utaambiwa forget about the product and concentrate on the business.Aisee mambo ni mengi mda mchache. Wengi wameuza mpaka mashamba yako leo wanajuta lakini hawawez sema.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚QNet is a chain of foolish people who have been foolished by the foolish ones!!!!!
 
Pak sasa hakuna hata mmoja aliyejitokeza kutetea..[emoji54][emoji54][emoji54] this is bad!
 
Oooh Jeief itabaki kuwa juu, I was about kuingizwa kingi na rafiki yangu mfilipino tulikutana humu mitandaoni akaanza kunipa sound hz ananirushia watu wa Uganda matajiri waliotoka thro AIM global [emoji23] [emoji23] picha linaanza wakanialika semina kule mikocheni nikaenda kuona watachozungumza aise wako vzur kwenye ushawishi yani wale madogo ma motivation speaker sijui walisomea wapi unaweza acha kazi ukaanze biashara ile ,wamepiga suti wako kisharobalo unaweza sema pesa iko hapa [emoji23] [emoji23] ila nilipoangalia type ya washiriki kuna kitu kikagonga kichwani yani wameweka mapandikizi wa kushangilia na kutoa ushuhuda nikajua this is another Deci.
 
Hongera sana mkuu kwa kushtuka mapema.....Mungu akupe maamuzi Na fikra thabiti..kumbuka Tawi La mti Wenye matunda halifikiki kirahisi So, there is no Simple ways of earning money!!! Utapeli!!!!
 
Wakija na sela zao humu wanaweza pata vichwa vipya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daadeq!! Naiamini JF haiwezi kuwa na mamburula..wanawaokota huko FB na IG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…