henry kilenga
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 1,329
- 1,117
Mimi niliambiwa eti kule Qnet vijana wanaendesha rangerover na ukiingia tu ndani ya miaka 2 unaingiza milioni 500
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha Ha ha ingawa siyo vya kuchekesha ila statement yako ya kuend up na kwashakoo imenichekesha pole sana Mkuu sijui watu wanaingiaje mkenge na hawa jamaaThat is true, I don't like to hear these kind of business. They managed to convince my son and he kept crying to do that business and I ended up giving my precious $1750. Kept going everywhere trying to build the pyramid until he ended up getting kwashakoo
Bora hiyo 700K angebet tu ,awape man city na Barca over 1.5 angekua na uhakika na 1M hapoWakuu,
Mwishoni mwa mwaka jana Mdogo wangu (Mwanafunzi wa chuo Kikuu Ardhi) alinitumia ujumbe Uliosomeka " Bruv! Nimepata platform ya kupiga pesa, Sure am telling you bruv am gonna be a great millionaire in just few coming days". Nikamuuliza, "Vipi umepata dili la kuwa Contena?(kwa maana ya Msafirishaji wa madawa ya kulevya)" .......Akanijibu "Bruv i just need you to lend me 560k Tshs nimepata nafasi ya kuwa milionea kwa kutengeneza pesa na Kampuni moja ya Kifilipino inaitwa Alliance In Motion Global after one year hata wewe nitakuwa nakupumulia kisogoni". I was shocked kivipi laki tano na sitini izae mamiloni ndani ya mwaka mmoja!! Nilimuuliza dogo iwapo amefanya utafiti wa kutosha juu ya hiyo anayooita "platform" na kunijibu kuwa ameshafanya na anawajua watu wengi waliotusua kupitia hiyo Alliance.
Binafsi nampenda sana mdogo wangu, Sikutaka afikirie kuwa namnyima nafasi ya kutekeleza,adhma yake (Japo nilikuwa na wasiwasi) niliamua Kumtumia Sh. Laki 7 ili akifanya hayo mambo yake abaki na balance ya kutumia kwa muda (ili tusisumbuane tena).....Now ni mwezi wa 6 huu unaelekea wa 7 tangu ajiunge sioni mabadiliko yoyote, mara ananiambia "Bruv, Haya mambo hayataki haraka pesa ipo inakuja". Mara, "oh! natengeneza Pair ya watu wangu ili nianze kulipwa".....Kuanzia hapo nikajua tu kuwa mdogo wangu alipotea njia kwa kufuata mkumbo na kukubali kuingizwa mkenge coz mpaka sasa hazipiti wiki mbili bila kuniomba pesa za,matumizi.
Siku moja tena ya Mwezi February kuna dada alinifuata ofisini akataka tuongee ili anishirikishe busness yao alijitambulisha kwa A.k.A ya Cherry...nilimpomkubalia akaniambia kuwa anafanya kazi na kampuni ya QNET na kuna mtu alim'direct kwangu (alisita kumtaja) ndipo akaanza kutoa "Likitabu" lake lina picha za simu, saa, mikufu nk. Kwa ufupi tu ni kwamba alinieleza kuwa kwa kiasi cha kuanzia dola 2000 kwa maana ya Shilingi milioni tano pekee naweza kununua bidhaa moja kama vile saa au mkufu na nikishirikisha wenzangu wengine nitaanza kulipwa pesa...Niliposikia hivyo nilimwangalia yule dada nikamwambia kwa ufupi ".Sista nipo busy sana kwa sasa na pia siwezi kufanya hiyo biashara yako am so sorry".aliondoka akiwa na mfadhaiko usoni mimi sikujali coz Niligundua kuwa hawana tofauti na wale Alliance waliomtapeli mdogo wangu miezi kadhaa iliyopita.
Nyie watu Wa Hayo makampuni tajwa hapo Juu na ninyi mliofanikiwa kupitia haya makampuni (kama mpo humu) hebu jitokezeni mtujuze mlitumia njia gani..otherwise i declare you kama Matapeli mliofumbiwa macho na Serikali.
😂😂😂😂😂😂QNet is a chain of foolish people who have been foolished by the foolish ones!!!!!QNet, its a chain where a person is fooled to join in the platform and then he/she is trained to fool others to earn money.
Kwa taarifa tu, this is a scam, hawa jamaa wanaishi kwa madeni siku zote, problem ni kwamba wakati unashawishiwa ujiunge kwa hiyo QNET kwa mfano, kuna vitu hauambiwi mpaka uwe umesha join, wakati huo umeshainvest usd 2000 yako, hivyo huwezi toka, Qnet is like a trap! Once your in you can not get out till you earn back your return pn investment which by any means you wont achieve easly kama wanavyokwambia.hivyo na wewe unafundishwa jinsi ya kuwa fool wengine wa join juu yako ile upate return yako, the chain goes on, by the way there is no like physical products traded in Qnet, ikishaingia tu utaambiwa forget about the product and concentrate on the business.Aisee mambo ni mengi mda mchache. Wengi wameuza mpaka mashamba yako leo wanajuta lakini hawawez sema.
Pak sasa hakuna hata mmoja aliyejitokeza kutetea..[emoji54][emoji54][emoji54] this is bad!Wakuu,
Mwishoni mwa mwaka jana Mdogo wangu (Mwanafunzi wa chuo Kikuu Ardhi) alinitumia ujumbe Uliosomeka " Bruv! Nimepata platform ya kupiga pesa, Sure am telling you bruv am gonna be a great millionaire in just few coming days". Nikamuuliza, "Vipi umepata dili la kuwa Contena?(kwa maana ya Msafirishaji wa madawa ya kulevya)" .......Akanijibu "Bruv i just need you to lend me 560k Tshs nimepata nafasi ya kuwa milionea kwa kutengeneza pesa na Kampuni moja ya Kifilipino inaitwa Alliance In Motion Global after one year hata wewe nitakuwa nakupumulia kisogoni". I was shocked kivipi laki tano na sitini izae mamiloni ndani ya mwaka mmoja!! Nilimuuliza dogo iwapo amefanya utafiti wa kutosha juu ya hiyo anayooita "platform" na kunijibu kuwa ameshafanya na anawajua watu wengi waliotusua kupitia hiyo Alliance.
Binafsi nampenda sana mdogo wangu, Sikutaka afikirie kuwa namnyima nafasi ya kutekeleza,adhma yake (Japo nilikuwa na wasiwasi) niliamua Kumtumia Sh. Laki 7 ili akifanya hayo mambo yake abaki na balance ya kutumia kwa muda (ili tusisumbuane tena).....Now ni mwezi wa 6 huu unaelekea wa 7 tangu ajiunge sioni mabadiliko yoyote, mara ananiambia "Bruv, Haya mambo hayataki haraka pesa ipo inakuja". Mara, "oh! natengeneza Pair ya watu wangu ili nianze kulipwa".....Kuanzia hapo nikajua tu kuwa mdogo wangu alipotea njia kwa kufuata mkumbo na kukubali kuingizwa mkenge coz mpaka sasa hazipiti wiki mbili bila kuniomba pesa za,matumizi.
Siku moja tena ya Mwezi February kuna dada alinifuata ofisini akataka tuongee ili anishirikishe busness yao alijitambulisha kwa A.k.A ya Cherry...nilimpomkubalia akaniambia kuwa anafanya kazi na kampuni ya QNET na kuna mtu alim'direct kwangu (alisita kumtaja) ndipo akaanza kutoa "Likitabu" lake lina picha za simu, saa, mikufu nk. Kwa ufupi tu ni kwamba alinieleza kuwa kwa kiasi cha kuanzia dola 2000 kwa maana ya Shilingi milioni tano pekee naweza kununua bidhaa moja kama vile saa au mkufu na nikishirikisha wenzangu wengine nitaanza kulipwa pesa...Niliposikia hivyo nilimwangalia yule dada nikamwambia kwa ufupi ".Sista nipo busy sana kwa sasa na pia siwezi kufanya hiyo biashara yako am so sorry".aliondoka akiwa na mfadhaiko usoni mimi sikujali coz Niligundua kuwa hawana tofauti na wale Alliance waliomtapeli mdogo wangu miezi kadhaa iliyopita.
Nyie watu Wa Hayo makampuni tajwa hapo Juu na ninyi mliofanikiwa kupitia haya makampuni (kama mpo humu) hebu jitokezeni mtujuze mlitumia njia gani..otherwise i declare you kama Matapeli mliofumbiwa macho na Serikali.
Aise acha kabisa vivulana na vidada ndo usiseme vinaingizwa chakaTamaa ya pesa za haraka inaangamiza kizazi cha vijana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda wanaanda waraka wa mashambulizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera sana mkuu kwa kushtuka mapema.....Mungu akupe maamuzi Na fikra thabiti..kumbuka Tawi La mti Wenye matunda halifikiki kirahisi So, there is no Simple ways of earning money!!! Utapeli!!!!Oooh Jeief itabaki kuwa juu, I was about kuingizwa kingi na rafiki yangu mfilipino tulikutana humu mitandaoni akaanza kunipa sound hz ananirushia watu wa Uganda matajiri waliotoka thro AIM global [emoji23] [emoji23] picha linaanza wakanialika semina kule mikocheni nikaenda kuona watachozungumza aise wako vzur kwenye ushawishi yani wale madogo ma motivation speaker sijui walisomea wapi unaweza acha kazi ukaanze biashara ile ,wamepiga suti wako kisharobalo unaweza sema pesa iko hapa [emoji23] [emoji23] ila nilipoangalia type ya washiriki kuna kitu kikagonga kichwani yani wameweka mapandikizi wa kushangilia na kutoa ushuhuda nikajua this is another Deci.
Yes my boss/Mentor[emoji23][emoji23][emoji23]