Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najuta kutoa laki 7 yangu mkuu....Bora ningetafuna tu bia zangu.Good morning mkuu
Hii imenikuta wiki moja iliyopita mpangaji mwenzangu kanifuata kaniambia ana project moja matata sana ndani ya miaka kadhaa atakua bilionea,nikamwomba anipe dili hilo siku ananiita kunitambulisha hiyo biashara nakutana na huu upuuzi wa QNET nikawasikiliza na hilo likitabu lao la picha mikufu na mbwembwe zingine ,nikawaambia tutawasiliana ,then nikaja hapa jf kuuliza kama ulivyofanya wewe but kiufupi ni ubabaishaji huyo Mdogo wako kaingia chaka tu hakuna pesa za mkato kiasi hicho
Hivi serikali haioni huu utapeli?
Au pengine na hao viongozi nao wanakula mgao may be monthly or annually. Who knows?
Hamna kitu huko utapoteza hela pamoja na muda wako huku ukiwa haufaidiki na chochote zaidi ya kuitwa sijui champion mara manager na kupiga picha ukiwa umevaa suti kwenye magari na nyumba za watu ili kuwadanganya wengine wajiunge
Looooh! Siku hizi vibaka wame advance wizi wao 😂😂Kuna nyingine wanaita PONZI SCHEMEs, nao ni wizi kama huu wa pyramid schemes
With Ponzi schemes, investors give money to a portfolio manager. Then, when they want their money back, they are paid out with the incoming funds contributed by later investors. With a pyramid scheme, the initial schemer recruits other investors who in turn recruit other investors and so on.
That is true, I don't like to hear these kind of business. They managed to convince my son and he kept crying to do that business and I ended up giving my precious $1750. Kept going everywhere trying to build the pyramid until he ended up getting kwashakooMkuu, pole.
Jisomee kiundani:
A pyramid scheme is a business model that recruits members via a promise of payments or services for enrolling others into the scheme, rather than supplying investments or sale of products. As recruiting multiplies, recruiting becomes quickly impossible, and most members are unable to profit; as such, pyramid schemes are unsustainable and often illegal
Source: https://en.wikipedia.org/wiki/Pyramid_scheme
So sadH
Ha ha ha haaa haya makampuni ya ki "k" sana .. yani ili kum-motivate mtu lazima watafuta jamaa kakaa kwenye gari zuri na nyumba vyote vya watu wengine.. mtu anaingia king anajiunga miaka ishirini hajawahi miliki hata baiskel mamaee
WTF!!😂😂😂That is true, I don't like to hear these kind of business. They managed to convince my son and he kept crying to do that business and I ended up giving my precious $1750. Kept going everywhere trying to build the pyramid until he ended up getting kwashakoo
Mkuu principle ni moja; kama unavyoona wachezaji wa soka wa Ulaya au majeshi yao, au waalimu wao ni ADVANCED kutushinda, basi hata wezi wao ni advanced kushinda wa kwetu. Period.Looooh! Siku hizi vibaka wame advance wizi wao 😂😂
Wenzetu wanaadapt development ideas sisi Tunaadapt Wizi 😁😁Mkuu principle ni moja; kama unavyoona wachezaji wa soka wa Ulaya au majeshi yao, au waalimu wao ni ADVANCED kutushinda, basi hata wezi wao ni advanced kushinda wa kwetu. Period.