Yellow donaty
Senior Member
- Jan 16, 2023
- 113
- 271
Tupeni siri mliofanikiwa watu tunakufa kwa njaa huku mpaka 10,000 inatushinda kupata 😭😭😭 twende wapi kuomba omba kwa mwanaume haiwezekani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimechoka mkuu naomba msaada wa ten tuKuna kipindi kigumu unapitia.. Usikate tamaa kitapita
Dah nachokaUsikate tamaa
Ukishazaliwa kwenye hii dunia yenye mambo mengi kuchoka ni lazimaDah nachoka
😭😭😭 maisha magumu mpaka mtu unataman kufaUkishazaliwa kwenye hii dunia yenye mambo mengi kuchoka ni lazima
Madam magumu huyapitii peke ako,👉hakuna mtu ambaye hajatoka mbali😭😭😭 maisha magumu mpaka mtu unataman kufa
Kufa kupo pale pale hata usipotamani kikubwa jishughulishe there is no sweet without sweat😭😭😭 maisha magumu mpaka mtu unataman kufa
Ujuzi nikifundishwa naweza fanya jamboMadam usikate tamaa, Kikubwa eleza ujuzi au fani uliyonayo👉pengine unaeza saidiwa
NatambuaKufa kupo pale pale hata usipotamani kikubwa jishughulishe there is no sweet without sweat
Pole usikate tamaa nikipata nitakupaA
Nimechoka mkuu naomba msaada wa ten tu
Madam weka CV yako japo kwa ufupi, 👉unaishi wapi👉umri, Umesoma au hujasoma ??Ujuzi nikifundishwa naweza fanya jambo
Nimeosoma mpaka 4m4 age 23 place darMadam weka CV yako japo kwa ufupi, 👉unaishi wapi👉umri, Umesoma au hujasoma ??
👉Kazi unayoweza kufanya??
Madam hebu acha kutia watu wasiwasi,A
Nimechoka mkuu naomba msaada wa ten tu
Sipo hukoMadam hebu acha kutia watu wasiwasi,
👉maana ukianza hivi ni Kama vile umekuja chota pesa kisa matatizo🙏🙏🤔🤔
Usinifikilie ivyoMadam hebu acha kutia watu wasiwasi,
👉maana ukianza hivi ni Kama vile umekuja chota pesa kisa matatizo🙏🙏🤔🤔
Ila nimetumia in positive wayUkiona fundi mwashi jisogeze na uwapatie hata tope,wapiga debe jichanganye kufika jioni una hata 10,ukipata 10 kasalule mitumba ya bukubuku zungusha kitaa Kwa buku 2 mbili,omba kibarua Cha kuosha magari,pia salimia watu wakupe hata tuvikazkaz Lazima utatoka.Kutamka neno kudanga Kwa mwanaume ni laana.usirudie tena