Wasaka shavu wote mlikuwa mnapambania keki Serikalini Leo, Usaili umeendaje huko...
Tupeni info's basi, maana najua hayo maswali Huwa wanarudiaga hamna mpya chini ya jua
Walioenda practical kada za Accountant 11 planning officer na credit officer tunaomba mrejesho wa hyo practical maana ndio Mara ya kwanza kusikia practical kweny hzo kada