Mliofeli vidudu tukutane hapa

Mliofeli vidudu tukutane hapa

Gwangzu

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2017
Posts
2,457
Reaction score
3,818
Kama wewe ni chekechea feria uliza swali lolote la mathematics na felia mwenzio atakujibu mimi nauliza hili
5-2=______ jibu ni ??
 
Wengine tumeanza shule enzi hizo una angaliwa urefu kwa kushika sikio. Shule unaenda pasipo shinikizo wala mzazi hana time.watoto wetu Leo hii magari yanawafuata had mlangoni chekechea ilikua Hanna kijiini huko
 
Eti mlio feli vidudu, sasa vidudu navyo mtu unafeli ?

Kwanza kule mtu una felije labda maana hakuna mtihani wa taifa
 
Hahaha nilikua nampa Hamadi hela ili aniandikie na kunijibia maswali. Home wananiona niko vizuri kichwani kumbe kumejaa upepo tu.

Dah kitambo sana
 
Wengine tumeanza shule enzi hizo una angaliwa urefu kwa kushika sikio. Shule unaenda pasipo shinikizo wala mzazi hana time.watoto wetu Leo hii magari yanawafuata had mlangoni chekechea ilikua Hanna kijiini huko
Enzi za umande.shule ipo zaidi ya 15km,mkononi una jembe,Fagio,dumu la maji ya kumwagilia, kokoto,mkoba wa daftari na asubuhi unatakiwa uwahi nambana shule hamli chakula mchana.unarudi nyumbani saakumi na moja.na watu tulitusua
 
Back
Top Bottom