mtzmweusi JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 8,658 Reaction score 8,994 Jan 21, 2024 #1 Niwape pole sana wote mliotoa hela zenu kuchangia Taifa Stars hela zenu bora mngetoa misaada kwa yatima poleni sana
Niwape pole sana wote mliotoa hela zenu kuchangia Taifa Stars hela zenu bora mngetoa misaada kwa yatima poleni sana
Goodluck Mchika JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 1,228 Reaction score 1,138 Jan 21, 2024 #2 🤣🤣🤣🤣
N Noti bandia JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 2,684 Reaction score 4,315 Jan 21, 2024 #3 Miongoni mwa mambo ya kijinga sitokuja kufanya ni michango kama hiyo. Bora nisaidie mtaji yeyote nayemjua kuliko kujaza maji kwenye gunia
Miongoni mwa mambo ya kijinga sitokuja kufanya ni michango kama hiyo. Bora nisaidie mtaji yeyote nayemjua kuliko kujaza maji kwenye gunia
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Jan 21, 2024 #4 Hela zimeenda kwa wakina mwijaku joti babalevel tu Ova
F Full Blood Picture JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 2,223 Reaction score 3,961 Jan 21, 2024 #5 Maumivu ya kichwa. Mpira siyo kama siasa za kukimbia na masanduku ya kura
N ndiga JF-Expert Member Joined Jan 28, 2014 Posts 605 Reaction score 614 Jan 22, 2024 #6 Mojawapo ya vitu nilishakataa kufanya ni kushabikia taifa stars ni hatari kama kushabikia vyama vya siasa.
Mojawapo ya vitu nilishakataa kufanya ni kushabikia taifa stars ni hatari kama kushabikia vyama vya siasa.
M MZAWA JF JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 4,491 Reaction score 3,996 Jan 22, 2024 #7 mbona hasira kuna nn?
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 21,058 Reaction score 36,272 Jan 22, 2024 #8 Mtu na akili zake kabisa eti anamchangia mwijaku kama mwanahamasa wa starz.
ILISACHA JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 2,184 Reaction score 4,030 Jan 22, 2024 #9 Hiyo ujinga sifikirii na sitegemei kama itakujatokea nikafanya huo ufakni ccm ni chanzo cha uzalendo kutoweka kwa raia wa Tanzania acha bongo zozo ajitolee tu na ni vile wamegundua hajajikita kwenye siasa la sivyo haaa
Hiyo ujinga sifikirii na sitegemei kama itakujatokea nikafanya huo ufakni ccm ni chanzo cha uzalendo kutoweka kwa raia wa Tanzania acha bongo zozo ajitolee tu na ni vile wamegundua hajajikita kwenye siasa la sivyo haaa
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Jan 22, 2024 #10 Nchi zenye u serous kwa mchezo wa Tanzania na Zambia wachezaji wote na makocha hadi wanyoosha misuli wangewekwa gerezani. Wanachezea kodi zetu.
Nchi zenye u serous kwa mchezo wa Tanzania na Zambia wachezaji wote na makocha hadi wanyoosha misuli wangewekwa gerezani. Wanachezea kodi zetu.