YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Chadema kina mikopo ambayo kilikopeshwa na watu mbalimbali.
Maswali yangu Kwao Ni kwanza je katiba ya chadema Ina kipengele kinaruhusu chama kukopa?
Pili je hao wakopeshaji Wana leseni za ukopeshaji ? Kama leseni hawana walikopeshajje? Sio watakatisha pesa hao?
Tatu Riba ambayo iko kwenye hiyo mikopo wakiipokea waliilipia Kodi?
Kama jibu Ni la kila mkopeshaji aliyekopesha chadema ahesabu kaumia na ajiandae
TRA na wataalamu wa money laundering wakitinga kwake asishangae huo ugeni