Mlioikopesha hela Chadema mna leseni za kukopesha ? Riba mnayopata mnalipia Kodi TRA?

Mamaaaa!!!
Jamani, wahurumieni bhana, imetosha, halafu uchunguzi wenyewe unafanywa kipindi cha mataifa duniani yamefunga mipaka Yao, hili sio dogo, kuna wanaotamani kutoroka ili kuepuka sakata hili,

Lakini sasa....
 
Takukuru waharakishe uchunguzi watu wasije toroka nchi akiwemo Mbowe
 
Kabla ya kujibu vipi shingongo alipowakopesha t shirt,nk,wasanii bongo muvi walipowakopesha huduma zao walikuwa na leseni ya kukopesha?
Umepiga nje kabisa. Hivi ndo vinaitwa vihoja vya kuokoteza. Hapa inaongelewa Credit facility wewe unaongelea madeni ya watoa huduma.Vitu viwili tofauti kabisa. Kama sindano imekuingia na huna cha kujibu inatakiwa uugulie kimya kimya huko ulipo.
 
We ndo kilaza kutoa huduma unategemea kulipwa huduma au pesa
 
Hao mnaoendaga kuwakopa hela mitaani, Tena kwa riba kubwa huku mkiwekeza magari na hati za nyumba zenu. Wana leseni ya kukopesha kutoka BOT au wanalipa kodi TRA?
 
Back
Top Bottom