Chadema kina mikopo ambayo kilikopeshwa na watu mbalimbali.
Maswali yangu Kwao Ni kwanza je katiba ya chadema Ina kipengele kinaruhusu chama kukopa?
Pili je hao wakopeshaji Wana leseni za ukopeshaji ? Kama leseni hawana walikopeshajje? Sio watakatisha pesa hao?
Tatu Riba ambayo iko kwenye hiyo mikopo wakiipokea waliilipia Kodi?
Kama jibu Ni la kila mkopeshaji aliyekopesha chadema ahesabu kaumia na ajiandae
TRA na wataalamu wa money laundering wakitinga kwake asishangae huo ugeni
Takukuru watatupatia majibu. Na kwa nini walimficha CAG kwamba kuna mikopo analipwa mwenyekiti wa Chadema?Chadema kina mikopo ambayo kilikopeshwa na watu mbalimbali.
Maswali yangu Kwao Ni kwanza je katiba ya chadema Ina kipengele kinaruhusu chama kukopa?
Pili je hao wakopeshaji Wana leseni za ukopeshaji ? Kama leseni hawana walikopeshajje? Sio watakatisha pesa hao?
Tatu Riba ambayo iko kwenye hiyo mikopo wakiipokea waliilipia Kodi?
Kama jibu Ni la kila mkopeshaji aliyekopesha chadema ahesabu kaumia na ajiandae
TRA na wataalamu wa money laundering wakitinga kwake asishangae huo ugeni
Mtapiga Sana propaganda ili kumfurahisha mungu wenu,Chadema kina mikopo ambayo kilikopeshwa na watu mbalimbali.
Maswali yangu Kwao Ni kwanza je katiba ya chadema Ina kipengele kinaruhusu chama kukopa?
Pili je hao wakopeshaji Wana leseni za ukopeshaji ? Kama leseni hawana walikopeshajje? Sio watakatisha pesa hao?
Tatu Riba ambayo iko kwenye hiyo mikopo wakiipokea waliilipia Kodi?
Kama jibu Ni la kila mkopeshaji aliyekopesha chadema ahesabu kaumia na ajiandae
TRA na wataalamu wa money laundering wakitinga kwake asishangae huo ugeni
Mafisadi makubwa ya nchi hii.Why chadema everywhere and everything.
Mjue ndo mnaipaisha hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipaumbele vya awamu ni kutumia Kodi zetu kuiuwa chadema kuliko kuzitumia kutatua tatizo la ajira kwa wahitimuWhy chadema everywhere and everything.
Mjue ndo mnaipaisha hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mahakama ya mafisadi haina wateja ,ni baada ya kubaini wateja wakubwa wanatoka kile chama cha ujamaa ikafa kifo cha mende.Ule wimbo wa mafisadi majizi tayashughulikia kweli kweli vipi mbona kimya this days.Mafisadi makubwa ya nchi hii.
Shingongo,wasanii vipi walishalipwa?Kuna malalamiko kuwa chadema imekataa kulipa madeni?
CCM mbna wasanii mnawakopa mpaka wengine mnawadhulumu?
Mbowe na Genge lake!Mbona mahakama ya mafisadi haina wateja ,ni baada ya kubaini wateja wakubwa wanatoka kile chama cha ujamaa ikafa kifo cha mende.Ule wimbo wa mafisadi majizi tayashughulikia kweli kweli vipi mbona kimya this days.
Kabla ya kujibu vipi shingongo alipowakopesha t shirt,nk,wasanii bongo muvi walipowakopesha huduma zao walikuwa na leseni ya kukopesha?Chadema kina mikopo ambayo kilikopeshwa na watu mbalimbali.
Maswali yangu Kwao Ni kwanza je katiba ya chadema Ina kipengele kinaruhusu chama kukopa?
Pili je hao wakopeshaji Wana leseni za ukopeshaji ? Kama leseni hawana walikopeshajje? Sio watakatisha pesa hao?
Tatu Riba ambayo iko kwenye hiyo mikopo wakiipokea waliilipia Kodi?
Kama jibu Ni la kila mkopeshaji aliyekopesha chadema ahesabu kaumia na ajiandae
TRA na wataalamu wa money laundering wakitinga kwake asishangae huo ugeni
Aaaha anavosakwa si angeshaozea kule,VIP Kange lini atapanda kuleMbowe na Genge lake!