paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Takukuru waharakishe uchunguzi watu wasije toroka nchi akiwemo MboweMamaaaa!!!
Jamani, wahurumieni bhana, imetosha, halafu uchunguzi wenyewe unafanywa kipindi cha mataifa duniani yamefunga mipaka Yao, hili sio dogo, kuna wanaotamani kutoroka ili kuepuka sakata hili,
Lakini sasa....
Umepiga nje kabisa. Hivi ndo vinaitwa vihoja vya kuokoteza. Hapa inaongelewa Credit facility wewe unaongelea madeni ya watoa huduma.Vitu viwili tofauti kabisa. Kama sindano imekuingia na huna cha kujibu inatakiwa uugulie kimya kimya huko ulipo.Kabla ya kujibu vipi shingongo alipowakopesha t shirt,nk,wasanii bongo muvi walipowakopesha huduma zao walikuwa na leseni ya kukopesha?
We ndo kilaza kutoa huduma unategemea kulipwa huduma au pesaUmepiga nje kabisa. Hivi ndo vinaitwa vihoja vya kuokoteza. Hapa inaongelewa Credit facility wewe unaongelea madeni ya watoa huduma.Vitu viwili tofauti kabisa. Kama sindano imekuingia na huna cha kujibu inatakiwa uugulie kimya kimya huko ulipo.
Badala ya kujibu kisheria unamtetea huyo jambazi wenu kwa mifano ya kijinga. Mikopo ya mitaani huwezi linganisha na hiyo million 50 anazojilipa mwenyekiti Kama riba kila mwezi.Mitaani Kuna watu kibao wanakopeshana Kea style hiyo! Vp mliwafuatilia
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Ficha upumbavu wakoMitaani Kuna watu kibao wanakopeshana Kea style hiyo! Vp mliwafuatilia
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app