Mlioko Dar tunaomba Updates za Covid-19 festival

Vijana wasiokuwa na akili wale wa kijani wanakata mauno pale Lumumba wakiwa na babu kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Mkuu nimecheka sana na siku yangu imeenda vizuri ikichangizwa na comments zingine.

Vp Mkuu wale wa ufipa hawajaja au kuwaona maeneo hayo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Mkuu nimecheka sana na siku yangu imeenda vizuri ikichangizwa na comments zingine.

Vp Mkuu wale wa ufipa hawajaja au kuwaona maeneo hayo?
Vijana wa ufipa n Kijitonyama wameendelea kifuata taratibu za WHO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wagonjwa wote wa Corona DsM wamepona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…