Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Sisi wa mkoa picha tu zatosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku shwari..kuna sehemu nimepita nikakuta bar iko full mapema hii and am like whaat!!!Hawajambo Mkuu!
Vp chang'ombe hali ikoje huko?
😂😂😂😂😂😅😅😅😅 Mkuu nimecheka sana na siku yangu imeenda vizuri ikichangizwa na comments zingine.Vijana wasiokuwa na akili wale wa kijani wanakata mauno pale Lumumba wakiwa na babu kijana
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wa ufipa n Kijitonyama wameendelea kifuata taratibu za WHO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Mkuu nimecheka sana na siku yangu imeenda vizuri ikichangizwa na comments zingine.
Vp Mkuu wale wa ufipa hawajaja au kuwaona maeneo hayo?
Watu wanatii agizo...vipi uliiwaona hapo ni wale wa juhudi au mchanganyiko?Huku shwari..kuna sehemu nimepita nikakuta bar iko full mapema hii and am like whaat!!!
Sawa mkuu ila hujatuambia wewe unakatiza maeneo gani kwenye shereh hii?Vijana wa ufipa n Kijitonyama wameendelea kifuata taratibu za WHO
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanatii agizo...vipi uliiwaona hapo ni wale wa juhudi au mchanganyiko?
Hlf Darmian unaenda wapi wewe?
Sawa ila uendelee kua makini!Watu wanakula monde sijajua yupi ni yupi..
Mimi naenda kwenye mwaliko mmoja hivi wa Eid kwenda kufinya cha mtume
Mi huwa nasikiliza sana wataalamu wa afya kuliko wanasiasa.....nipo maeneo nimetulia tuli nacheki zangu ligi ya ujerumaniSawa mkuu ila hujatuambia wewe unakatiza maeneo gani kwenye shereh hii?
Wagonjwa wote wa Corona DsM wameponaWakuu Salaam;
Watu wa Dar tupeni updates za Covid-19 festival inayofanyika leo.
Sisi wa mikoani hatujaruhusiwa kusherekea hiyo shughuli, hivyo tunakosa uhondo halisi kulinganisha na nyie wa Dar.
Festival ikoje huko hadi muda huu saa 5 asubuh?
Umepanga kwenda wapi kwa hafla hii fupi ya leo?
Sawa mkuu na hongera, uwashauri na wengine hivyoMi huwa nasikiliza sana wataalamu wa afya kuliko wanasiasa.....nipo maeneo nimetulia tuli nacheki zangu ligi ya ujerumani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mkuu haupo tena chugani?Ulitaka uende Chadibwa au Mikadi? 😂
Na wewe umefanya sherehe?Wagonjwa wote wa Corona DsM wamepona
Tumefanya send off ya corona kwenye ofisi za Rc matercoNa wewe umefanya sherehe?
😂😂😂😂😅😅Tumefanya send off ya corona kwenye ofisi za Rc materco
Acha kashfa mkuuVijana wasiokuwa na akili wale wa kijani wanakata mauno pale Lumumba wakiwa na babu kijana
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaTuko tunapiga palizi mkuu,wa dar msisahau kuendelea kuwasuka dada zetu na kuwafanyia massage kwa ustadi.