Mlioko Dar tunaomba Updates za Covid-19 festival

Ulitaka uende Chadibwa au Mikadi? πŸ˜‚
Nimeenda Mikadi pa ovyooo leo, Tanzanite na Malaika pia hapana watu, ila Kijijinpana watu sema vishua me sipendi maeneo ya vishua. Nikaona nisepe. , nikapata msosi Nakos Kigamboni maana sijapata kabisa mwaliko leo. Biriani la buku 7 na juice.



Nikaamsha popo kutoka uko hadi beach ya Kibo iko uko mbezi mbezi uko ata siijui ila mitaa ya Ramada na White Sand.

uko pamejaa sana, watu wana enjoy. Barakoa za kuhesabu ni nadra kuona barakoa. Ni free entrance.

Pia kuna mtoto alipotea ila kuna baharia akajua huyo dogo kapotea kwahiyo akawa anatembea nae nikaona nimpige picha incase likitokea la kutokea nitakua shahidi. Ila uyu maza aliempoteza mtoto mzembe sana.


Your browser is not able to display this video.
 
Unazurura mno doh!

Pole yake huyo Mazaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…