Mlioko Dar tunaomba Updates za Covid-19 festival

Mlioko Dar tunaomba Updates za Covid-19 festival

Wakuu Salaam;

Watu wa Dar tupeni updates za Covid-19 festival inayofanyika leo.

Sisi wa mikoani hatujaruhusiwa kusherekea hiyo shughuli, hivyo tunakosa uhondo halisi kulinganisha na nyie wa Dar.

Festival ikoje huko hadi muda huu saa 5 asubuh?
Umepanga kwenda wapi kwa hafla hii fupi ya leo?
Covid festival?! Kweli bashite anawajulia.
 
Back
Top Bottom