Mlioko Dubai mnaishije?

Dubenga maisha ni very expensive.,niliuzuwa maji ya kunywa 250ml kwa 15k.
 
Dubenga maisha ni very expensive.,niliuzuwa maji ya kunywa 250ml kwa 15k.
Inategemeana na location Uliyonunulia mkuu. Supermarkets nyingi za mtaani unapata chupa 6 za lita 1 na nusu kwa dirham 5 tu ambayo ni kama 3400 Tshs ya bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…