Mgosi Mbena
JF-Expert Member
- Nov 28, 2023
- 499
- 604
Wengine wanauza Vipochi Manyoa Mkuu.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
nishaisikia hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine wanauza Vipochi Manyoa Mkuu.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Unalipia kitanda tu unakuwa unaishi kama uko hostel. Room unakuta ni wakenya, wanyarwanda au watu wengine kutoka Afrika ila sikushauri ukae na wapopo.
Inategemeana na location Uliyonunulia mkuu. Supermarkets nyingi za mtaani unapata chupa 6 za lita 1 na nusu kwa dirham 5 tu ambayo ni kama 3400 Tshs ya bongo.Dubenga maisha ni very expensive.,niliuzuwa maji ya kunywa 250ml kwa 15k.