Mlioko Hai kwenye mkutano wa Chadema mtujuze kama gia imebadilishwa angani

Mlioko Hai kwenye mkutano wa Chadema mtujuze kama gia imebadilishwa angani

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Leo ni siku muhimu sana Lumumba imeunguruma tumewasikia.

Chadema nao wanaunguruma huko Hai mkoani Kilimanjaro tunasubiri kuwasikia.

Nawatakia Ijumaa ya kwanza ya Kwaresma yenye baraka!

Maendeleio hayana vyama!
 
Back
Top Bottom