J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 Feb 28, 2020 #1 Leo ni siku muhimu sana Lumumba imeunguruma tumewasikia. Chadema nao wanaunguruma huko Hai mkoani Kilimanjaro tunasubiri kuwasikia. Nawatakia Ijumaa ya kwanza ya Kwaresma yenye baraka! Maendeleio hayana vyama!
Leo ni siku muhimu sana Lumumba imeunguruma tumewasikia. Chadema nao wanaunguruma huko Hai mkoani Kilimanjaro tunasubiri kuwasikia. Nawatakia Ijumaa ya kwanza ya Kwaresma yenye baraka! Maendeleio hayana vyama!
Rabonn JF-Expert Member Joined Nov 7, 2018 Posts 5,788 Reaction score 11,186 Feb 28, 2020 #2 Bila shaka utajuzwa.kuwa mpole
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 Feb 28, 2020 Thread starter #3 AsajizzleDaGreat said: Bila shaka utajuzwa.kuwa mpole Click to expand... Tutashukuru bwashee!