Huyu mtu inawezekana ni saa sita kasoro, akili zake za kipuuzi sana hakafu anajiita mlezi wa waimbaji wa injili?
Labda mlezi wa madanguro
Ndio maana flora alijikata i.awezekana aligundua anaishi na mwezi mchanga ndani,
Yaani wewe mbasha ndo wa kusapoti ujinga unaosambazwa mitandaoni tena kwa mtumishi wa Mungu Gwajima?
Eti na wewe unapost
Leo ndo nimekushusha vyeo vyote, hafu kwanza unajiita mlezi wa waimbaji wakati we mwenyewe unachokiimba hata hakieleweki ujibga ujinga tu
Umeniudhi sana juheshimu bro usianike ujinga wako hadharani
Hicho cheo cha mlezi wa waimbaji huwezi kua nacho mshenz kama wewe
Nimemaliza