julaibibi JF-Expert Member Joined Jun 16, 2020 Posts 3,081 Reaction score 4,224 Aug 10, 2024 #41 Blood of Jesus said: yaani ukishapata ugali, baaasi! duu Click to expand... ndio jambo kubwa tumbo ndio msing wa maendeleo.
Blood of Jesus said: yaani ukishapata ugali, baaasi! duu Click to expand... ndio jambo kubwa tumbo ndio msing wa maendeleo.
Blood of Jesus JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 4,486 Reaction score 8,098 Aug 10, 2024 Thread starter #42 julaibibi said: ndio jambo kubwa tumbo ndio msing wa maendeleo. Click to expand... kama Afrika bado chakula tu ni shida, basi Ile laana ya kizazi cha Nuhu ya MWANZO 9:18-27 ni dhahiri. kwamba Mwafrika anatokana na mtoto wa Nuhu aitwaye Hamu aliyeuangalia uchi wa baba pasi na kumfunika.
julaibibi said: ndio jambo kubwa tumbo ndio msing wa maendeleo. Click to expand... kama Afrika bado chakula tu ni shida, basi Ile laana ya kizazi cha Nuhu ya MWANZO 9:18-27 ni dhahiri. kwamba Mwafrika anatokana na mtoto wa Nuhu aitwaye Hamu aliyeuangalia uchi wa baba pasi na kumfunika.