Wakuu,
Kuna haka ka clip ka Zembwela nimekutana nako. huko kwenye matembezi yangu mtandaoni.
Kama upo kwenye ndoa naomba sana ukaangalie alafu useme kama umemuelewa Zembwela au hamjamuelewa.
Mimi nimemuelewa lakini nadhani kataa ndoa wengi watakuwa hapa kwenye MKE MKE WENU na ndo maana hawataki kuingia kwenye ndoa
Source: Yahstone Youtube Channel