Mlioko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5

ma dokta love mupo wapi kuna tatizo huku
 
Yani watu bilion ngapi sijui utugeuzie dunia kisa ndoa yako dah si sawa hujatutendea haki

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Asipokuelewa na ujumbe huu ajiandae kuita mshenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In a scale of 0 to 10 (10 the highest)
1. Wengi mnaingia kwenye ndoa mkiwa na imani kuwa mawifi si watu wazuri. TAYARI HUJAANZIA 0, MAY 4. Hivyo siku akilikoroga, unaanza kwenye 5. The same kwa wakwe

2. Wengi mnaingia kwenye ndoa huku mkiwa na UNREALISTIC expectations nyingi sana ambazo mwenzi asipozifikia, stress huanza

3. Wengi mnaishi maisha ya wengine, si yenu... Yaani mnatamani maisha ta wazazi wenu, kaka, dada au ya mtu mliyewahi ishi naye kwenye hatua mbalimbali za maisha. Ndiyo maana kulinganisha ni kwingi sana

4. Wengi mkiingia kwenye ndoa, UVUMILIVU UNAWASHINDA SANA... kudhani ungefunga ndoa na EX wako maisha yangekuwa matamu, kupo sana. Yaani wengine hutamka kila wanapopatwa na hasira..BORA NINGEOLEWA/NINGEMUOWA FULANI KULIKO KIMEO WEWE...!! Lugha za hivi ON daily Or weekly bases unatefemea nini..???

5. Imani za mfumo dume na beijing zimeuwa na zitaendelea kuuwa na kuwachosha wanandoa wengi sana... Wengine hudai mambo kisa kaona kwa fulani, kaambiwa na mwingine. Kuna watu huleta maisha ya ndoa nyingine kwenye yao bila kuhali mazingira yao yapoje
 
Ndoa sio kikundi cha saccos au vikoba kama kila mtu anaweza kuingia kwa kuwa anaweza kutoa michango, then asiye na ndoa kamwe hawezi kumshauri mwenye ndoa. Ni sawa na mtu anaemshauri mwengine kuhusu ufugaji wakati yeye mwenyewe hafugi!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
 
Uliolewa kwa matamanio fulani na si kwa upendo
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Ajabu ni kuwa, hata ungekuwa single bado ungepitia kipindi kigumu hadi uombe dunia igeuke chini juu. Changamoto za maisha(achilia mbali ndoa) huwa haziishi hata kidogo, tafuta jinsi ya kukabiliana nazo tu hamna namna.

Hata singles hawapo safe sana na changamoto za maisha so go ahead and find ways to solve your misery.
 

Nakupenda
 
Huu mwaka wa 30 na nina wajukuu na ndoa ipp kama tulivyooana. Sijasikia mchepuko wala nini. Kama upo ili mradi akitoka kazini yupo nyumbani, basi mchepuko ni wakati wa kazi. Tuna wajukuu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…