Mlioko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5

Mlioko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5

Ila mwanamke mwenzangu ulikubali vipi kuolewa na mwanaume hakupendi ndio shida unayopata sasa hivi

Mimi acha nikupe pole tu nimefatilia thread zako za nyuma dalili zote ulishaziona kwa huyu mwanaume toka mnaanzisha mahusiano na ukaolewa naye tu moshi unafuka sasa ndani
 
Lakini wengine wanafake shunie
 
Ila mwanamke mwenzangu ulikubali vipi kuolewa na mwanaume hakupendi ndio shida unayopata sasa hivi

Mimi acha nikupe pole tu nimefatilia thread zako za nyuma dalili zote ulishaziona kwa huyu mwanaume toka mnaanzisha mahusiano na ukaolewa naye tu moshi unafuka sasa ndani
Halafu maskini utakuta mumewe anampenda ajabu ila bibie hana habari
 
Wala mwanaume ndio hampendi mwanamke mkuu
Hapo shughuli pevu. Unaambiwa mwanamke huwa hapendi ila hupendwa. Kuna njia ya kumfanya mwanaume akupende. Kaa chini utathimini ni kitu gani Mwanamme anapenda, acha kelele na gundu, jipendekeze kwa ndugu zake anaowapenda zaidi. Atarudisha upendo
 
Mwanaume anaanza kujenga upenndo mkiwa wachumba au mkiwa kwenye ndoa ?
Na what if mwanamke anapendwa lakini haoneshi kupokea upendo ?
Mwanaume anaanza kujenga Upendo mkiwa katika uchumba ila kama ametumia nguvu sana na mwanamke anaweka nyodo anakuwa na kisasi. Akishakula Upendo unapungua, by the time mnafunga ndoa, yeye yupo tu na wakati huo mwanamke Upendo ndo unazidi. Nikuambie kitu, ni asilimia kama 2 tu ya wanaume huwa wanaisubiri kwa hamu ile siku ya ndoa. Wengi wetu hata mie ilinikumba unaona karaha tu. Kama mwanamke hayuko makini mambo haya ya mleta sredi na kama Shunie alivyosema yanapatikana. Kama wangari alivyosema ni upepo unapita tu baadaye akivumilia Upendo unarudi tu. Ila ahakikishe anasupply K kama hana akili nzuri
 
Duh...! Mkuu, miaka miwili...! Hongera sana...nasema hongera sana...! Mi ndoa yangu imesambaratika ndani ya miezi sita
Jaman mlioko ndoan ndan ya miaka 5 nakuendelea mmewezaje??
Yan mmewezaje kuishi wawil mpaka miaka hiyo

Yaan mi miaka 2 tu nataman dunia igeuke kichwa chini miguu juu
Yan ukimuona mwenzio unapata hasira gafla
Akisafir unataman asirudi du!!!
Mmewezaje jaman nipen mbinu
h
 
Back
Top Bottom