Ila mwanamke mwenzangu ulikubali vipi kuolewa na mwanaume hakupendi ndio shida unayopata sasa hivi
Mimi acha nikupe pole tu nimefatilia thread zako za nyuma dalili zote ulishaziona kwa huyu mwanaume toka mnaanzisha mahusiano na ukaolewa naye tu moshi unafuka sasa ndani
Miaka 11 hii tushakuwa kama marafiki jamani kupishana kupo sana lakini ni upepo unapita mnaendelea ila hii ya kumuona mwenzio kero woiiiii hakuna ndoa mnaweza hata kuuana ndoa ikishafikia hapo ni kuachana tuAmeen[emoji28]
Wote muwe mnapendandana kwa huyu dada yeye alikuwa anampenda mwanaume na mwanaume hampendi fatilia thread zake usinuchoshe jamaniKwa hiyo unashauri binti akitaka kuolewa lazima aoelewe na mwanaume anayempenda kuliko yeye mwanamke anavyompenda huyo mwanaume
Sasa huyu mwanaume hata kufake alikuwa afake mama yaani mwanamke alikuwa kama anaforce imebidi nisome tu post zake za nyuma nione kwanzaLakini wengine wanafake shunie
Halafu maskini utakuta mumewe anampenda ajabu ila bibie hana habariIla mwanamke mwenzangu ulikubali vipi kuolewa na mwanaume hakupendi ndio shida unayopata sasa hivi
Mimi acha nikupe pole tu nimefatilia thread zako za nyuma dalili zote ulishaziona kwa huyu mwanaume toka mnaanzisha mahusiano na ukaolewa naye tu moshi unafuka sasa ndani
Wala mwanaume ndio hampendi mwanamke mkuuHalafu maskini utakuta mumewe anampenda ajabu ila bibie hana habari
Hapo shughuli pevu. Unaambiwa mwanamke huwa hapendi ila hupendwa. Kuna njia ya kumfanya mwanaume akupende. Kaa chini utathimini ni kitu gani Mwanamme anapenda, acha kelele na gundu, jipendekeze kwa ndugu zake anaowapenda zaidi. Atarudisha upendoWala mwanaume ndio hampendi mwanamke mkuu
Naendelea kukuchosha ili tuachane
Eiish hizo ligi zako siziwezi usinichoshe nisikuschoshe byeee [emoji137]Una uhakika gani ?
Thread zake pekee zinatosha kuweka hitimisho ulilolitoa ?
Mimi kwako hata sijawahi ku-fake lakini[emoji39]Lakini wengine wanafake shunie
Shunie umeolewa 11yrs? Uliolewa na 16yrs ama?Miaka 11 hii tushakuwa kama marafiki jamani kupishana kupo sana lakini ni upepo unapita mnaendelea ila hii ya kumuona mwenzio kero woiiiii hakuna ndoa mnaweza hata kuuana ndoa ikishafikia hapo ni kuachana tu
Mwanaume anaanza kujenga Upendo mkiwa katika uchumba ila kama ametumia nguvu sana na mwanamke anaweka nyodo anakuwa na kisasi. Akishakula Upendo unapungua, by the time mnafunga ndoa, yeye yupo tu na wakati huo mwanamke Upendo ndo unazidi. Nikuambie kitu, ni asilimia kama 2 tu ya wanaume huwa wanaisubiri kwa hamu ile siku ya ndoa. Wengi wetu hata mie ilinikumba unaona karaha tu. Kama mwanamke hayuko makini mambo haya ya mleta sredi na kama Shunie alivyosema yanapatikana. Kama wangari alivyosema ni upepo unapita tu baadaye akivumilia Upendo unarudi tu. Ila ahakikishe anasupply K kama hana akili nzuriMwanaume anaanza kujenga upenndo mkiwa wachumba au mkiwa kwenye ndoa ?
Na what if mwanamke anapendwa lakini haoneshi kupokea upendo ?
hJaman mlioko ndoan ndan ya miaka 5 nakuendelea mmewezaje??
Yan mmewezaje kuishi wawil mpaka miaka hiyo
Yaan mi miaka 2 tu nataman dunia igeuke kichwa chini miguu juu
Yan ukimuona mwenzio unapata hasira gafla
Akisafir unataman asirudi du!!!
Mmewezaje jaman nipen mbinu
Yes! Hujui nguvu ya K weye?Kwamba kuna mazingira K inarudisha upendo.
[emoji849] kwani huyu si ni mwanaume?Hongereni sanaa,hv wewe ndo muke wa boss melo?muanzilishi wa jf?
Story of my lifeUtajua kama mahusiano yameshakufa kama kutokuwepo kwake kuna kupa furaha kuliko kuwepo kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app