Mlioko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5

hawa wanaoongea hivi ndio huwa ukiona wanavyoishi hutoamini
 
Pole sana,ndoa haina formula na wala huwezi kucopy ndoa kwa jirani au shoga yako,kwamba kwavile akina Fulani wanaishi hivi basi na wewe ndoa yako itakuwa hivyo.Ni nyinyi wanandoa kukaa pamoja na kukubaliana ndoa yenu itajengwa katika misingi gani.Kupendana,kusameheana na kuvumiliana ni nguzo kuu za ndoa.Ahsante Mungu kwa kunijalia ndoa,I'm proud to be married.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, shida imeanzia wapi ?, kuna kitu mmekoseana na hamjasuluhishana?, hatari hii yaani mmefikia kukasirikiana hivo [emoji849] ,watu tunatamani kuingia huko ila kama ndiyo hivo mmh.

Sent using Jamii Forums mobile app
ingia mwaya wala usitishwe na matokeo ya ndoa za wengine, kila ndoa ni ya aina ya peke yake, hata experience ya ndoa ya wazazi wako haiwezi kuwa yako, mimi nipo kwenye ndoa 7 years now, na sijawahi kujutia hata tukiambiwa dunia inaanza upya mimi ntachagua yeye tu forever and ever
 
Inawezekana kwangu K imekosa umathubutu. Maana wazungu wangu wakishapata corona basi namuona mhusika kama karaha tu
Ni kawaida, thamani ya mwanamke ni pale wazungu wanataka pa kutokea! Ndiyo maana kawaida akinamama hujitia nyodo kuvua kofuli ila baada ya kumaliza wazungu mwilini, sijawahi kusikia mwanamke anajifanya avalishwe. Kama wazungu wamebana mlangoni, hata kiwete au nungayembe huonekana mzuri kuliko hata sanchoka au Rihanna au miss universe. Wazungu hao, anaonekana kama zombie
 
Niache Eli [emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu wahenga humu
[emoji23][emoji23][emoji23]unazingua shunie, kinda kabisa wewe uwe na ndoa ya 11yrs. Unazingua[emoji23][emoji23][emoji23]
 
tatizo we uliolewa ili kumringishia x wako..hayo ndiyo madhara yake..
 
Wow What a a super couple, nimewapenda bure yaani[emoji7] na ahsante kwa ushauri, kweli kila ndoa ina utofauti wake, huyu analalamika ndoa ya 2 yrs, wakati kuna wenye 7 yrs na still mnaenjoy, sihofii kuingia huko tenaa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usihofu mkuu,ndoa ni wewe utakavyoiwe ndivyo itakavyokuwa.Niko kwenye ndoa Mwaka wa 19 sasa,na enjoy ndoa yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…