Mlioko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5

Tulizingatia kiapo Cha Ndoa!
Mtakuwa pamoja katika Milima na Mabonde!
 
 
Kwani Baba yako alivumilia nini Kwa mama yako ?? Na mama yako Pia alivumilia nini Kwa Baba yako.....?? Usingeolewa mpaka Leo ungekuwa ushakufuru SASA hivi mara ooh mungu akuoni ooohh mara ooh nini sijui nini ....unadhani binadamu mmeisha NONGWA ....Ila subilia kidogo Tu yajayo yatakufurahisha
 
Nina. Miaka.16.kwenye.huo.mtifuano.sidhani.kama
Kunakitu. Tutasema. Uelewe. Kifupi. Kama. Huwezi. Kusubiri. Kesho. Ndoa
Yako
Utaumia. Wanandoa
punguzeni. kuchati
Na.wadada.au.wanaume
 
Umeongea ukweli
 
Umekosea sana uliposema dunia igeuke kwahiyo unataka sie wengine tugeuzwe na hii dunia kisa ndoa yako? Nyie ndio wale ambao mlikuwa mnaambiana nataka nikupe dunia nzima tubaki wawili nasemaje haipinduki na hatuanguki
 
Mmhhhgg!! Shida ipo!
 
Upo wapi
 
Kashanyimwa na unyumba kabisa. Kumbe tatizo limeanzia huku. Kama hataki kumuona mumewe basi hata dharau na kiburi atakua nacho sasa huyo mwanaume atapata wapi nguvu za kupiga show hata kwa dkk 20.
 
Usitumie akili ya kutafuta pesa,ya shule kuishi kwenye ndoa,ukitaka kufanikiwa kwenye ndoa,jitoe akili,mwenzio ni binadamu sio maraika,wewe ndani ya moyo wako kimyakimya,usitegemee mema kutoka kwa mwenzio,asipokupikia poa,akipika poa,akijujibu vibaya poa,akikusifia poa,utaishi bila msongo,ukimuangalia mwenzio kumbuka mazuri aliyonayo au alivyokuwa nayo
 
Pole sana
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…