GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Popoma [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Si huwa mnasema kuwa Simba SC tu pekee ndiyo Walozi ( Wachawi ) kwa Soka la Tanzania?
Na akirejea Tanzania mtatuambia hayo Manyoya ya Sungura na Bundi aliyabeba ya nini kwenda nayo nchini Mali.
Tukutane baada ya Mechi Usiku Ok?
Mzee GENTAMYCINE, si utupe wewe hizo updates?Si huwa mnasema kuwa Simba SC tu pekee ndiyo Walozi ( Wachawi ) kwa Soka la Tanzania?
Na akirejea Tanzania mtatuambia hayo Manyoya ya Sungura na Bundi aliyabeba ya nini kwenda nayo nchini Mali.
Tukutane baada ya Mechi Usiku Ok?
Bwana Genta aisee ulipotea sana pakatepeta sana humu, welcome back kuchangamsha jukwaa. Ulipokua haupo lile parody linalojofanyaga niwewe lilikuwa linajiachia sana sasa hivi naona nyuzi zake hazitembeiSi huwa mnasema kuwa Simba SC tu pekee ndiyo Walozi ( Wachawi ) kwa Soka la Tanzania?
Na akirejea Tanzania mtatuambia hayo Manyoya ya Sungura na Bundi aliyabeba ya nini kwenda nayo nchini Mali.
Tukutane baada ya Mechi Usiku Ok?
Asante Mkuu. Watajitokeza akina GENTAMYCINE wengi ila kuna GENTAMYCINE Mmoja tu ambaye ni "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" aliyejiunga hapa JamiiForums mwaka 2013 Mwezi July.Bwana Genta aisee ulipotea sana pakatepeta sana humu, welcome back kuchangamsha jukwaa. Ulipokua haupo lile parody linalojofanyaga niwewe lilikuwa linajiachia sana sasa hivi naona nyuzi zake hazitembei