Mlioko Zanzibar nawasalimu,ama kweli Zenji ni mahali Tulivu

Mlioko Zanzibar nawasalimu,ama kweli Zenji ni mahali Tulivu

LadyAJ

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2015
Posts
7,173
Reaction score
9,642
Nipo Zenji kwa siku ya 5 sasa bado nyingine 5 Kwa hakika Zenji Japo ni Padogo lakini MashaAllah imebarikiwa jaman Unguja kuna vivutio vingi vya kukufanya upende kukaa zaidi, kwa hakika Japo bado sijalipwa fedha za kazi nje ya kituo lakini nimefurahi bwana! Hasa ule mualiko wa Dr. Shein wa kupongezana baada ya kukamilisha mbio za Mwenge ama kweli wa Zenji hawana papala, watulivuu wametulia japo maisha huku ni Ghali ila sio kama wa Bara ukiwauliza kitu majibu yao utadhani umewaomba ela

Allah Awazidishie jamani

ee30b06cfe2a4e70b3beae0f751ddc6a.jpg
 
Kwa pita pita zangu wanaume wa Ki Zanzibar wanapenda sana kupika kuliko kubeba zege, kwa wanavyosimulia wenyewe huku wabeba zege wengi wana asili ya bara
Okay kumbe dukuduku langu lilikuwa sahihi
 
Karibu tena mkuu, unaweza kunichek malindi hapa kwa kukutembeza zaid
 
Karibu tena mkuu, huko ndio home sweet home tunaokuja main land sio kwamba kwetu ni pabaya bali tunakimbilia fursa tu jijini kama inavyofahamika kama visiwani fursa zinakua chache kutokana na mzunguko so kiukweli tunapapenda sana home tena sana every single day ya hapa Dar inanifanya nipambane ili someday nirud home niishi peacefull
 
Naskia wazanzibari hawapendi kazi ngumu mfano za kiufundi, eti ni kweli?
Kweli mkuu , nature yetu na tulivyozoea kwa mababu zetu hatufany kaz ngumu ndo maana ndugu zetu wa mikoan wanakuja sna kuchkua kazi za kulima na nyenginezo na kujipatia kipato hasa hasa wa shinyanga
 
Vp ushafikishwa Chwaka[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Naiona Africa house kwa mbali pamoja na Serena katika picha yako,Sio patulivu ukienda wakati kuna uamsho,watoto wa mbwa na kipindi cha uchaguzi.STILL WATER RUNS DEEP BROTHER.
 
Back
Top Bottom