LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,642
Nipo Zenji kwa siku ya 5 sasa bado nyingine 5 Kwa hakika Zenji Japo ni Padogo lakini MashaAllah imebarikiwa jaman Unguja kuna vivutio vingi vya kukufanya upende kukaa zaidi, kwa hakika Japo bado sijalipwa fedha za kazi nje ya kituo lakini nimefurahi bwana! Hasa ule mualiko wa Dr. Shein wa kupongezana baada ya kukamilisha mbio za Mwenge ama kweli wa Zenji hawana papala, watulivuu wametulia japo maisha huku ni Ghali ila sio kama wa Bara ukiwauliza kitu majibu yao utadhani umewaomba ela
Allah Awazidishie jamani
Allah Awazidishie jamani