Okay kumbe dukuduku langu lilikuwa sahihiKwa pita pita zangu wanaume wa Ki Zanzibar wanapenda sana kupika kuliko kubeba zege, kwa wanavyosimulia wenyewe huku wabeba zege wengi wana asili ya bara
Kweli mkuu , nature yetu na tulivyozoea kwa mababu zetu hatufany kaz ngumu ndo maana ndugu zetu wa mikoan wanakuja sna kuchkua kazi za kulima na nyenginezo na kujipatia kipato hasa hasa wa shinyangaNaskia wazanzibari hawapendi kazi ngumu mfano za kiufundi, eti ni kweli?